Rapper wa kike kutoka majuu anae kwenda kwa jina la Nicki Minaj ame sheherea birthday yake tarehe 8/12/2016, ambapo ameenda kupumzika visiwani. Katika birthday picture zake tume gundua Nicki ana msuko mpya wenyewe wanaita cornrow sisi tunaita yebo. Tena ni Yebo za kilimanjaro
Picha za kwanza kushare alikuwa pembeni mwa fukwe huku ame valia red swimming cost akituonyesha protective hair style yake
kwao ni baridi miezi hii kwaio mara nyingi huwa wana suka ku protect nywele zao, Nicki ame suka Yebo mchanganyiko yaani zikiwa na rangi zaidi ya moja ame suka nyeusi na blond
Je ume penda hair style? una weza kuiga lakini usisite kutupa mani yako kupitia
Email – afroswagga69@gmail.com
Facebook – afroswaggamag
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…