SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Kiwepo Katika Natural Hair Spray Bottle By Adidah Naturals
Hair

Nini Kiwepo Katika Natural Hair Spray Bottle By Adidah Naturals 

Natural & Relaxed hair zinahitaji unywevu tunaweza kusema kila aina ya nywele inahitaji mafuta na maji ili kuweza kukua,na pia kuzuia kukatika kwa nywele,nywele zinapo kuwa kavu ni rahisi kukatika japo kuna njia ya LOC (Liquid, Oil & Cream) lakini pia utahitaji kuspray nywele kila siku ili kuhifandhi unyevu hii itasaidia kuzifanya nywele zisiwe kavu na zitapungua kukatika. Leo tunakuletea remedies za nini kiwepo kwenye spray bottle yako kama una nywele za sili.
Adidah  naturals kutoka Naturalhair_tz   (@naturalhair_tanzania) ametuambia nini na nini kinafaa katika nywele zako za asili
Recipe #1 
■ Aloe vera juice – vijiko 2-3
■maji kikombe 1
■Vegetable glycerin -kijiko kimoja
Weka kwenye chupa yako ya spray halafu tumia kila siku kama mist yako.. tengeneza kiasi ambacho utatumia kwa angalau siku 5 – 7 and more na hifadhi kwenye friji
Recipe #2
■ leave in conditioner au style milk – vijiko viwili
■kikombe cha maji
 ■ aloe vera juice – kijiko kimoja
■Essential oil 3 – 5 drops
Changanya pamoja, weka kwenye chupa, shake and tumia kuspray nywele kila siku hasa siku ambazo hufanyi the whole LOC method. Ila itategemea na nywele zako kwani kuna nywele zina absorb na kihifadhi moisture vizuri
Recipe #3
■4 oz maji
■ 1 tbsp Aloe Vera juice
■1 tbsp coconut, almond au EVOO
■1 tbsp Vitamin E oil
■Lavender essential oil (2-3 drops)
Changanya na weka kwenye chupa yako and enjoy kuspray nywele zako
Recipe #4
■kikombe cha maji masafi
■2 tbsp asali
■2 tbsp coconut oil
■2 tsp Vitamin E oil
■Lavender Essential Oil (2-3 drops)
Asali ni nzuri sana kwa kusaidia nywele kupata na kuhifadhi moisture na kuziimarisha nywele. Mafuta ya nazi ni moja ya moisturising oil na yana uwezo wa kupenya na lavender itaongeza harufu nzuri huku ikisaidia kulainisha nywele
Usiwe strict na vipimo, kuwa mbunifu jaribu vitu tofauti na tengeneza kiasi kidogo cha kutumia siku chache na kama umetumia aloe vera itabd uweke kwenye friji.. na always sikiliza nywele zako kujua zinahitaji nini na kujua kama zimekubali product au hapana. Mbali na kutumia hizi spray kila siku ni muhimu kuendelea na ratiba yako ya kumoisturise kwa njia ya LOC

NOTE: 

Tsp – teaspoon / kijiko cha chai
 Tbsp – tablespoon / kijiko cha chakula
 Oz / ounce moja ni sawa na 30ml
 Kijiko cha chakula kina 15ml
 AVJ – Aloe vera juice

Related posts

7 Comments

 1. Magic Mushroom Chocolate Bar

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 2. buy benelli firearms

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 3. his comment is here

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 4. Psilocybin mushroom for sale online Queensland

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 5. Dark web market links 2023

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 6. buy ephedrine

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

 7. what is molly drug classified as,

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-kiwepo-katika-natural-hair-spray-bottle-by-adidah-naturals-16021/ […]

Comments are closed.