SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NINI UFANYE KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI
Dondoo

NINI UFANYE KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI 

Ikiwa leo ni siku ya kwanza Mwezi Mtukufu wa Ranadhani ume anza tutaanza na kukuelezea vitu muhimu vya kufanya katika fungua yako, ukiwa ume funga mwili unakua una pungua nishati ambayo hutoka katika chakula na kusababisha uchovu kidogo na kudhoofu kwa mwili na pia mwili hupoteza maji ambayo pia ni muhimu mwilini na kusababisha ngozi kupoteza  mvuto wake na kusinyaa . utahitaji kuwa muangalifu katika kufungua funga yako, ni vizuri ukaanza kufungulia kwa

Matunda ambayo kwa asili yake huwa na maji na sukari nyingi kama vile, zabibu, apple, tikiti maji na hata muwa kama una weza.

watermelon

Epuka matunda jamii ya machungwa yana kiasi kikubwa cha tindikali

orangejuice

pia una shauriwa kula tende, Ulaji wa tende  humsaidia sana mhusika kupata kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili. Hii itasaidia mwili wako kuto kudhoofu lakini pia husaidia katika ngozi na ukuaji wa nywele.

date_fruit

Pia unaweza kufungua Funga yako kwa kunywa maji mengi safi na salama, kwa afya bora ya ngozi na mwili wako

Woman drinking water
Woman drinking water

Related posts

2 Comments

  1. Buy Albino Penis Envy Mushroom Online Queensland.

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-ufanye-katika-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]

  2. usdt지갑

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/nini-ufanye-katika-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]

Leave a Reply