SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia 2 Za Kuimarisha (Kukaza) Ngozi
Skin Care

Njia 2 Za Kuimarisha (Kukaza) Ngozi 

Ngozi huanza kuanguka/kushuka au kuwa laini kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo uzee, jua, kutumia vipodozi vyenye kemikali kwa muda mrefu au magonjwa, hakuna anependa kuwa na ngozi za aina hii kwaio ni muhimu kuchukua hatua mapema kabla hazija tufikia lakini kama umeshafikia hatua hiyo si mbaya pia kuna njia mbalimbali za kuweza kuimarisha au kuondoa kabisa ngozi iliyo anza kuzeeka.

Tuna njia mbili ambazo unaweza kutumia na ni rahisi mno

Face mask ya ndizi

Mahitaji

  • ndizi – nusu
  • olive oil – kijiko cha chai
  • asali – kijiko cha chai

Namna Ya kufanya 

  • menya ndizi yako na uponde ponde iwe ujiuji au kama juice, kisha changanya na asali na olive oil
  • paka mchanganyiko wako usoni na shingoni
  • acha kwa muda wa dakika 15 na uoshe uso wako kwa maji ya vugu vugu
  • fanya hivi mara mbili kwa week kupata matokeo bora.

 

Face Mask Ya Yai

Mahitaji

  • Ute wa yai – 1
  • mtindi – kijiko kimoja kikubwa
  • sukari – kijiko kimoja kidogo cha chai

Namna Ya kufanya 

  • tenganisha ute wa yai na kiini chake, kisha changanya ute wa yai na sukari na mtindi
  • acha mchanganyiko wako katika ngozi mpaka ukauke
  • kisha futa/osha uso wako na maji ya vuguvugu
  • fanya hivi mara moja kwa week na utapata matokeo baada ya week chache.

Related posts

5 Comments

  1. how to make mushroom chocolates

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-2-za-kuimarisha-kukaza-ngozi/ […]

  2. ดูหนังออนไลน์

    … [Trackback]

    […] There you will find 66784 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-2-za-kuimarisha-kukaza-ngozi/ […]

  3. click for info

    … [Trackback]

    […] There you will find 58246 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-2-za-kuimarisha-kukaza-ngozi/ […]

  4. pg slot

    … [Trackback]

    […] There you will find 92937 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-2-za-kuimarisha-kukaza-ngozi/ […]

  5. จํา นํา โฉนด ที่ดิน กับ ร้านทอง

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-2-za-kuimarisha-kukaza-ngozi/ […]

Comments are closed.