SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia 3 Rahisi Za Kufuta Water Proof Mascara
Urembo

Njia 3 Rahisi Za Kufuta Water Proof Mascara 

Oh we love water proof mascara’s zimetengenezwa zisitoke pale ambapo maji yanapo ingia, zinatustiri sana pale mvua zinapo nyesha au unapo kuwa sehemu ukatokwa na machozi eidha ya furaha, huzuni au hata kupiga miayo zinakua hazi create dark cycles si kama zile ambazo si water proof. Kila kilicho na faida hakikosi hasara hata kama ndogo lakini ni hasara hizi water proof mascara kuzitoa ni mtihani, tumesha zoea kutoa mascara na kitambaa cha unyevunyevu hizi utakesha kuzitoa leo tumelatea njia 3 rahisi ambavyo unaweza kufuta au kutoa waterproof mascara.

 1. Makeup remover – Utahitaji makeup remover, paper towel na pamba

 • Weka paper towel chini ya jicho lako (fumba jicho)
 • weka makeup remover ya kutosha katika pamba yako
 • anza kufuta mascara ya kama ambavyo huwa unafuta za kawaida
 • ukisha ridhishwa na usafi wa kope zako osha uso kwa maji ya vuguvugu
 • paka mafuta kuondoa ukavu wa ngozi.

2. Mafuta ya maji – Mafuta ya nazi au olive oil na pamba

 • loesha kope zako kwa maji kiasi
 • lowesha pamba yako na mafuta ya maji (yoyote chaguo lako) kisha bonyeza mafuta yaliyopo kwenye pamba taratibu yaangukie kwenye nyusi zako
 • funga jicho lako kwa sekunde 30
 • futa kope zako kwa taulo au kitambaa ili kuondoa mafuta na mascara
 • osha uso na paka mafuta baada ya kuridhika na usafi wa kope zako.

3. Mafuta ya Mgando  Рmafuta ya mgando

 • paka mafuta ya mdango kiasi katika kope zako
 • kaa nayo kwa dakika moja
 • futa kope zako kwa wet wipes au kipande cha nguo (taulo,kitambaa)
 • osha uso na paka mafuta baada ya kuridhika na usafi wa kopei zako.

 

 

 

 

 

Related posts

1 Comment

 1. Buy DMT vape Newcastle Australia

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-3-rahisi-za-kufuta-water-proof-mascara/ […]

Comments are closed.