SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia 4 Za Kuhudumia Weaving Lako Lidumu
Urembo

Njia 4 Za Kuhudumia Weaving Lako Lidumu 

Kununua nywele bora kunaendana na namna ya jinsi ambavyo unazijali, lakini pia unaweza kununua nywele ambayo si bora lakini ukiipa matunzo mema ikadumu miaka na miaka, kama ambavyo unajali nywele zako na weaving nazo zina deserve same treatment iliziweze kudumu, kama umechoshwa na weaving lako kukauka na kuwa gumu mpaka unashindwa kulichana, weaving kujifunga vunga na kununua ma-weaving kila siku sababu tu yanaharibika kwa kukosa matunzo mema, fuata njia hizi tano za kukuwezesha kufanya weaving lako kuwa zuri na kudumu zaidi.

  •  Shampoo

Uwe unavaa natural au synthetic weave inahitaji huduma ya makini zaidi kuliko nywele zako kwa sababu inakosa mafuta ya asili yanayotoka kichwani mwako, osha weaving lako na shampoo kila baada ya wiki mbili (siku kumi na nne) hii inasaidia kulifanya liwe safi na kuonekana jipya mara kwa mara.

  • Leave In Conditioner 

Kama ambavyo nywele zako za asili huitaji leaving in conditioner basi ni sawa na weaving lako, ukisha liosha paka leaving in conditioner yako ili kusaidia ku-MoisturizerDetangles Knots na Protects Hair from Environmental Damage, ukiwa unaweka leaving in conditioner utaifanya weaving yako iendelee kuwa na ubora ule ule, lakini pia kuepuka nywele kujikunja kunja na kuwa ngumu.

  • Ukaushaji

Si vyema kutumia moto kukausha weaving yako kama unamuda acha weaving yako ikauke kwa kutumia hewa ya kawaida, hii itasaidia kupunguza weaving yako kukauka na kukaamaa ambapo hupelekea breakage kwenye weaving yako, as much as unashauriwa kutokukausha nywele zako za asili na moto mwingi ni sawa sawa na weaving yako, jaribu kuwa gentle with it pia.

  • Hifadhi Sehemu Nzuri

Achana na kuweka weaving kwenye mifuko hii inasababisha kukunjana zaidi nunua Wig Holder Stand na uziweke vizuri ili kuepuka kukunjana na kusababisha weaving ionekane imechoka kuliko muda wake.

 

Related posts

1 Comment

  1. hkusa

    … [Trackback]

    […] There you can find 93594 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-4-za-kuhudumia-weaving-lako-lidumu/ […]

Comments are closed.