SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia 5 Za Kujali Edges Zako Zisikatike
Hair

Njia 5 Za Kujali Edges Zako Zisikatike 

Edges ni hizi nywele za mbele, pembeni na nyuma ya kichwa, mara nyingi nywele hizi huwa zinakatika sana, na hii ni kutokana na kwamba zenyewe ni nyepesi lakini pia hupitia mambo magumu ikiwepo kuzilalia, ukichana au kufunga mtindo unazifuta kwa nguvu kwenye kusuka pia zinavutwa, leo tunakuletea namna 5 ambavyo unaweza kujali edges zako zisikatike

Njia Za Kutunza Nywele Wakati Unanyonyesha

 • Suka Misuko Mikubwa

Unaposuka nywele ndogo unavuta sana nywele mbele, jaribu kusuka misuko mikubwa/minene ili kuondoa kuzivuta na mwihoe kukata kabisa nywele zako.

 • Low maintenance styles 

 

Weka styles ambazo zina low maintenance haziitaji kuchana edges zako mara nyingi na kusabisha zikakatika, lakini pia epuka mitindo ambayo inavuta sana nywele na yenyewe husabisha nywele za mbele kukatika .

Usisahau kupaka mafuta edges zako, wengi tunaweka concetration yetu kwenye nywele ndefu juu na ngozi lakini tunasahau nywele za pembeni katika kupaka mafuta well kama unazipenda inabidi uzipake mafuta, mafuta mazuri ambayo yanasifiwa na wengi ni black castor oil, Dr. Miracles Temple na Nape balm they can do magic to your edges.

 • Loosen up

Sote tunapenda kubana nywele zetu ili kuonyesha sura uzuri kabisa, lakini tatizo ya styles hizi za nywele ni kwamba zinahitajika uzivute sana na wakati unafanya hivyo kwa urembo huku edges zako nazo zinateketea, well ni vyema ukatafuta styles za nywele ambazo zipo relaxed au kama ungependa kubana basi jaribu kulegeza mbano wako uwezavyo.

 • Vaa Scarf

wengi tunapenda  kwenda kulala na nywele nzuri na kuamka na nywele nzuri kutokuvaa kofia, hii sio njia ya kuchukua. Kuvaa kitambaa cha satin usiku sio tu kunalinda hairstyle yako, pia inalinda nywele zako kutokana na uharibifu. foronya za mito mara nyingi hutengenezwa na vitambaa vya pamba ambavyo hunyonya unyevu na mafuta katika  nywele zako Hii inaacha nywele zako dhaifu, Kuvaa scarf ya satin husaidia kukinga yote haya

Related posts

3 Comments

 1. Auto Body Shop Greensboro

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-5-za-kujali-edges-zako-zisikatike/ […]

 2. cloned credit cards for sale​

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-5-za-kujali-edges-zako-zisikatike/ […]

 3. z cap strain https://exotichousedispensary.com/product/z-cap-strain/

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-5-za-kujali-edges-zako-zisikatike/ […]

Comments are closed.