SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia Asili Ya Kuondoa Madoa Yaliyo Tokana Na Chunusi
Skin Care

Njia Asili Ya Kuondoa Madoa Yaliyo Tokana Na Chunusi 

Si kazi rahisi kuondoa chunusi usoni, chunusi huwa zina kera sana zinapo tokea usoni ni furaha pale uso wako unapo kuwa soft lakini ni wachache ambao wana bahati ya vipele kuondoka na ngozi kuwa soft na safi bila ya madoa, wengi wetu chunusi zinaondoka na yana baki madoa haya hukera zaidi kwa maana tatafuta njia nyingi za kuondoa mwishoe unaweza kushangaa unatumia vitu badala ya kuondoa madoa basi vina rudisha vipele upya, kwetu ni vizuri zaidi kama utatumia vitu vya asili na hii ni moja kati ya namna nyingi za kundoa madoa kwa asili

Mahitaji

  • parachichi – 1
  • asali mbichi – kijiko 1
  • kipande cha limao – Nusu limao

Namna Ya Kufanya

Menya parachichi katakata kisha lisage, minya limao ili kupata juice ya limao na ondoa mbegu zake kisha chaganya pamoja parachichi ulilo lisaa, limao na asali. Vikisha changanyika vizuri paka usoni kwa dakika 30 na usafishe uso wako kwa maji masafi, paka mafuta yako uyatumiayo kila siku.

Note: kama unamadoa yanayo tokana na chunusi hakikisha una paka sun screen, jua linaweza kusababisha madoa yakawa meusi zaidi

  • usiwe una zibandua au kuchezea hayo madoa utazidi kufanya yawe meusi au kutokwa na vidonda.
  • namna nzuri ya kuzuia haya yote yasitokee ni kujipa skin routine nzuri ambayo itakufanya usiwe na vipele

Related posts

3 Comments

  1. buy remingtonarms

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-asili-ya-kuondoa-madoa-yaliyo-tokana-na-chunusi/ […]

  2. a knockout post

    … [Trackback]

    […] Here you can find 92461 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-asili-ya-kuondoa-madoa-yaliyo-tokana-na-chunusi/ […]

  3. navigate to this web-site

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-asili-ya-kuondoa-madoa-yaliyo-tokana-na-chunusi/ […]

Leave a Reply