SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia Rahisi za Kutunza Ngozi Yako Ya Uso Katika Weekend
Urembo

Njia Rahisi za Kutunza Ngozi Yako Ya Uso Katika Weekend 

The weekend has landed, weekend huwa tunatumia muda mwingi kuhakikisha mambo yanaenda sawa katika miili yetu na hata majumbani, ni muda wa mapumziko ambao tunatumia kusafisha nyumba, mavazi, na hata kufanya usafi wa mwili oh yes weekdays unakuwa na haraka na huna muda wa kutosha kujijali vizuri, weekend ndio muda maalum wa kusafisha nywele, kucha bila kusahau kuijali na kutunza ngozi yako, hizi ndizo njia  3 ambazo unaweza kufanya katika weekend kuitunza ngozi yako.

 • Lala Vya Kutosha 

Usingizi si tu bora katika furaha bali ni mzuri pia katika kutunza ngozi yako, huwa inashauriwa kulala masaa nane na zaidi ili ukiamka uwe una function vizuri lakini tunamdanganya nani? weekdays lazima kutakuwa na siku ambazo una shindwa kupata muda wa kupumzika masaa nane. Tumia weekend kulala masaa nane ikibidi unaweza kuongeza masaa machache mbele ili kupumzisha mwili na ngozi yako vyema.

Faida za kulala vya kutosha

 • hupunguza mikunjo katika ngozi
 • ngozi hujikarabati yenyewe usiku
 • Your skin product may work better ( kama huwa unapaka skin care products usiku ukipata masaa mengi ya kupumzika unazipa product zako muda mwingi wa ku-function)
 • Kufanya ngozi iwe na afya

 

 • Fanya Facial 

inawezekana kwenda kufanyia salon ni ghari unaweza kufanya facial nyumbani, uwe unatumia product za kununua au za asili hakikisha unafanya facial ili kusafisha ngozi yako na kuiacha katika hali nzuri, facial husaidia kuifanya ngozi iwe safi na yenye afya. Unaweza kuanza na kusafisha ngozi na cleanser, osha na paka mask yako kaa nayo kwa muda unaofaa na uondoe kisha moisturize ngozi yako

 • Kuwa Make up Free 

Week nzima inawezekana ukawa unapaka makeup wakati wa mihangaiko yako, yes a girl got to look good for work, na kuna muda unaweza kupitiwa ukapanda nayo kitandani na kulala nayo, well weekend ni muda muafaka wa kuacha ngozi yako ipumue na makemikali ambayo huwa unayapaka week nzima, kama una mtoko basi unaweza kupaka na usisahau kuitoa usiku lakini pia unaweza kuiacha ngozi yako ikiwa make-up free kwa masaa machache kabla ya kupaka na kwenda kwenye mtoko wako.

 

Related posts

4 Comments

 1. ufabet365

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-rahisi-za-kutunza-ngozi-yako-ya-uso-katika-weekend/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-rahisi-za-kutunza-ngozi-yako-ya-uso-katika-weekend/ […]

 3. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-rahisi-za-kutunza-ngozi-yako-ya-uso-katika-weekend/ […]

 4. superkaya88

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-rahisi-za-kutunza-ngozi-yako-ya-uso-katika-weekend/ […]

Comments are closed.