SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Njia za Kutunza Ndevu
Urembo

Njia za Kutunza Ndevu 

Ndevu zinaweza kuwa natural accesory kwa mwanaume kama tu zitatunzwa vyema na zinaweza kuwa kero kwa mwanaume na wanawake kama zitakuwa hazina matunzo, yes zinaweza kuwa kero kwa wanawake kutokana na kwamba wanawake wengi wanapenda wanaume wenye ndevu nyingi lakini si tu ndevu bali ndevu zenye matunzo #freshbeardgang, Wanaume wengi wana prefer kunyoa ndevu zao kutokana na kutokujua namna ambavyo wanaweza kuzitunza zikakua vizuri na zenye afya, leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kutunza mzuzu wako ukakua vyema na kuwa na afya na muonekano unaovutia.

 • Osha ndevu zako kwa Natural Shampoo ya wanaume

Huna haja ya kununua shampoo kwa ajili ya ndevu kwa maana ndevu ni sawa tu na nywele zako za kichwani, tumia shampoo unayotumia kuoshea nywele zako kuoshea ndevu pia fanya hivi mara 2-3 kwa week, hii husaidia kufanya ndevu zako kuwa safi, kunukia vizuri na kuondoa mafuta na jasho,ni vyema ukatumia shampoo ambazo ni surfate free ambazo zina natural engredients hutotaka kuweka makemikali karibu na mdomo wako.

 • Paka Mafuta na Conditioner Katika Ndevu Zako

Kama ambavyo tumesema mara ya kwanza ndevu ni sawa na nywele zako za kichwani tu, ukiachana na kuziosha ziwe safi zinahitaji mafuta kuzifanya ziwe nyevu lakini pia conditioner ili ku-stimulate ukuaji wake uwe wenye afya,kufanya hivi kunasaidia kuondoa ukavu katika kidevu, lakini pia kuondoa miwasho katika ngozi, kumbuka ndevu zako zitakuwa na afya kama tu ngozi ya kidevu itakuwa treated well pia.

 1. Mimina matone machache ya mafuta mikononi mwako.
 2. Kwa kutumia mikono yako yenye mafuta massage ndevu zako ( zinaweza kuwa kavu au nyevu) Massage mpaka utakapo fikia usawa wa ngozi ya kidevu chako
 3. Hakikisha unapaka / Massage ndevu zako kuanzia kwenye ncha ya ndevu hadi kwenye ngozi hii ni kufanya mafuta yaweze kufikia kila sehemu ya kidevu chako na ziwe na muonekano sawa.
 4. Tumia mafuta ya ndevu mara moja kwa siku katika hali ya hewa kavu na 2-3x kwa wiki katika hali ya hewa ya mvua.
 • Trim Your Beard

Trimming your beard is importans as trimming your hair, ili kuondoa split ends tunasuggest uwe una trim ndevu zako kila baada ya week chahce, trimming beards haihitaji kwenda salon hata ukiwa mwenyewe nyumbani unaweza kuzi -trim kwa kutumia mkasi, angalia zile ndevu ambazo ni nyepesi na uzitoe ilikupata uwiano wa ndevu ni vyema ukatumia kitana ili kujua ni wapi uishie kukata ndevu zako.

MWANAUME FUATISHA HAYA KWA MUONEKANO MZURI

 • Be healthy

Nywele, Ngozi na ndevu ni direct reflect ya afya yako, kama ungependa kuwa na thick and health beard basi kama ambavyo ipo kwenye nywele na ngozi utahitaji kufanya mazoezi, kula vizuri na kupunguza unywaji wa pombe.

 

Related posts

3 Comments

 1. linked here

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-za-kutunza-ndevu/ […]

 2. Pineapple Pound Cake 1.5g High Roller Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-za-kutunza-ndevu/ […]

 3. buy cheap magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/njia-za-kutunza-ndevu/ […]

Comments are closed.