SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ombre Color Wig/Weaving Trend
Urembo

Ombre Color Wig/Weaving Trend 

Mpaka sasa hii ni moja ya trend kuiona mwaka huu wa 2023, mwaka umeanza na styles nyingi lakini ambayo tumeona ina jirudia hapa Nchini kwetu na Nje ya Nchi nii style ya ombre wig / weaving hair style.

Ambapo style hii ni kwamba nywele inakuwa na rangi zaidi ya moja yaani zinaweza kuwa mbili na kuendelea, sio style mpya lakini ni style ambayo huwa haitumiki mara nyingi tumezoea kuona nywele ni ya rangi moja iwe nyeusi au rangi nyingine inakuwa moja hizi zinakuwa mchanganyiko.

Tumeona watu kama Irene Uwoya na Hamisa Mobetto wakiwa wamevalia style hii ya nywele

Wengine ambao tumewaona na style hii ya nywele ni Fahyma pamoja na Zee Cuty

lakini pia tumemuona rapper mkubwa Nicki Minaj na mfanya biashara Black Chyna wakiwa amefanya style hii pia

Well tuambie je umependa hii style na unaweza kuijaribu?

Related posts