Mwanamuziki Ommy Dimpoz ametupia video kwenye mtandao wa kijamii ambayo inaonyesha perfume’s zake pamoja na mavazi ambayo anavaa sikuhio ni kama a day in a life video. Katika video hio tumeona vingi lakini kilichotuvutia zaidi ni hii perfume collection yake ambapo kuna Tom Ford na Louis Vuitton Perfume.
Perfume hizi kama ni Original basi Ommy ametumia zaidi ya laki 3 kuzinunua ambapo kwenye website ya Tom Ford hii Tom Ford Ombre Leather inauzwa $140-195 yaani Tsh 325,080 – 452,790.

Wakati Lv haikuonekana vyema jina lake lakini kwa inavyosemekana perfume zao huanzia kuuzwa kwa Usd 240 sawa na tsh 557,280.

well we must say that perfume collection is expensive.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 25222 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/ommy-dimplez-must-be-smelling-rich/ […]