SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

On A Lazy Day Accessorize Your Outfit With Bright Colors
Urembo

On A Lazy Day Accessorize Your Outfit With Bright Colors 

Kuna kitu kati ya siku mbaya ambayo umechoka au hujisikii kuput effort katika outfit yako na neutral colors, kama utakuwa ume notice mara nyingi unapokuwa hujisikii kujisumbua na mavazi basi una kimbilia kuvaa mavazi yenye rangi tulivu ( neutrals – black,white,blush pink) na hii ni kutokana na kuwa marahisi kuya-style, lakini je unajua kwamba unaweza kuongezea bright accessories katika outfit yako hiohio ya kivivu na ukaonekana umechukua muda wako katika kuvaa?

Ukiachana na kukufanya uonekane ume put some efforts lakini pia kuongezea rangi katika muonekano wako kuna weza ku lighten your day na kukufanya ule uvivu usionekane machoni mwa watu.

Unaweza kubeba mkoba wenye bright colors, inaweza kuwa nyekundu, kijani, njano etc yoyote ile ambayoitafanya au kunyanyua muonekano wako

 

Unaweza kuongezea a colorful blazer katika muonekano huo pia inaweza kuinua muonekano wako from bored to bad a*s

unaweza kuvaa statement earrings au necklace zenye rangi nazo zinauwezo mkubwa wa kufanya uonekane umejaribu kuweka effort katika vazi lako.

Lakini pia unaweza kuvaa viatu vyenye rangi

usisahau red lipstick pia

The whole idea ya kuvaa kitu chenye rangi ukiwa katika lazy day ni kuhamishia attention katika kitu hiko na sio vazi lako, watu wataanza kunotice handbag, koti, hereni au viatu na kuviongelea na kusahau kuhusu vazi lako.

Related posts

3 Comments

  1. หวย 3 ตัวบาทละ 1000

    … [Trackback]

    […] There you can find 70593 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/on-a-lazy-day-accessorize-your-outfit-with-bright-colors/ […]

  2. 무료 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/on-a-lazy-day-accessorize-your-outfit-with-bright-colors/ […]

  3. golden teacher mushroom substrate,

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/on-a-lazy-day-accessorize-your-outfit-with-bright-colors/ […]

Comments are closed.