SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Otile Brown Afichua Jewelry Mpya Za Mbosso Ni Fake
Urembo

Otile Brown Afichua Jewelry Mpya Za Mbosso Ni Fake 

Kenyan’s wamekuwa wakitu-blast sana mwaka huu,ikiwa hatujapoa na vuguvugu la Khaligraph Jones na Rappers wa Tanzania, mwanamuziki kutoka Kenya Otile Brown amefichua kwamba zile Jewelry mpya za Mbosso ni fake pia, tumesema ni fake pia maana alisema kwenye caption yake No More Fake Isht.

Otile alichukua muda wake na kuandika yafuatayo kupitia Instagram Stories Yake

Well hizi Jewelry kutoka kwa Mbosso zinatoka kwa Icejewelz kutoka UK London na kupitia bio kwenye page yao Icejewelz wanasema wao sio affiliated with any brands wanazo uza, kusema sio Affiliated haimaanishi ni fake bali hawana uhisishwaji na brand hizo mfano unaweza kuuza Balmain lakini Balmain huna mkataba au muingiliano wowote nao.

Related posts