Ombre Braids ndio habari ya mjini kwa sasa, kuna hizi rasta zime ingia zina rangi mbili watu wengi wame sukia lakini wengi utakuta ni blue na nyeusi au grey na nyeusi lakini kumbe muda mwingine una takiwa kutoka nje ya box kuna rangi nyingi za rasta ambazo una weza kusukia na ukapendeza, usiwe muoga kujaribu. leo tuna kuletea rasta za rangi aina mbali mbali ambazo una weza kusukia na uka pendeza
minyoosho
rangi ya dhahabu
pink cotton
mchanganyiko/mcharuko
nyekundu
nyeusi/pink na purple
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-idea-ya-misuko-ya-rasta-za-rangi/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-idea-ya-misuko-ya-rasta-za-rangi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-idea-ya-misuko-ya-rasta-za-rangi/ […]