SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pata Kujua Kwa Upana Kuhusu Kungumanga Na urembo Wa Macho Kwa Wanawake
Urembo

Pata Kujua Kwa Upana Kuhusu Kungumanga Na urembo Wa Macho Kwa Wanawake 

Je! wajua upana wa kungumanga na urembo wa macho kwa wanawake? (Kulegea),Ni wazi macho ni moja kati ya kivutio kamili katika nogesho la urembo wa mtu. Na kamamacho hayana ushirikiano ni wazi urembo wako/wake unapotea. (Uhalisia)

Kwa mujibu wa wajuzi wanatujuza yakuwa ‘Kungumanga’ ni mbegu ya miti aina ya mkungumanga.(Ndiyo)Na miti hii mara zote huota zaidi katika pwani. Ambapo Tanga ni mahala ambapo hupatikana kwa wingi ilihali matumizi yake pia ni kwa uwingi. (Naam), Kazi kubwa ya Kungumanga ni kuweka usawa wa muonekano wa macho katika urembo kamili. (Ulegevu)

Je! ushawahi kutumia kungumanga? (Swali). Utumizi wa Kungumanga ni katika usago wa tunda yake (Mbegu) na mchanganyo wa kwenye glasi ya juisi ama kikombe cha uji. (Kinywaji),Na baada ya muda mfupi macho huwa katika urembo wa uhakika katika ulegevu imara wenye mvuto hasa. (Muonekano)

Lakini matumizi ya kungumanga ni kama kileo hivyo hupaswi kutumia mara kwa mara bali kwa uchache zaidi. (Inategemea),Kungumanga yaweza kutumika nyakati za kutaka kulala na muenza wako ama hata nyakati za kutoka na hii ni kulingana na kipimo cha utumizi. (Uamuzi)

Pia ikumbukwe kungumanga huweza kutumika kwa hali ya kunuia yakuwa leo nataka iwe hivi na vile. (Mapenzi/Urembo),Hivyo wajuzi wa pwani wanatujuza matumizi ya kukumanga ni muhimu katika urembo na upana wa maisha ya mwanamke imara. (Eeh)

Na hakuna madhara yoyote katika matumizi ya kukumanga bali uboresho wa urembo wa macho na ongezeko la mshawasha mzuri katika mwili katika mengi yenye uhitaji wa faragha. (Raha)

Related posts

4 Comments

 1. window repair

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-kujua-kwa-upana-kuhusu-kungumanga-na-urembo-wa-macho-kwa-wanawake/ […]

 2. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-kujua-kwa-upana-kuhusu-kungumanga-na-urembo-wa-macho-kwa-wanawake/ […]

 3. dewasgp

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-kujua-kwa-upana-kuhusu-kungumanga-na-urembo-wa-macho-kwa-wanawake/ […]

 4. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] There you can find 42908 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-kujua-kwa-upana-kuhusu-kungumanga-na-urembo-wa-macho-kwa-wanawake/ […]

Comments are closed.