Umechoshwa na utumiaji wa Filter wakati au ukisha piga picha hili kuifanya picha yako iwe nzuri zaidi, hivi ni vipodozi ambavyo vinaweza kukusaidia kupata picha nzuri isiyo hitaji kupiga msasa na wewe uandike filter for what? au filter ndo nani?
MARC JACOBS
inakuja katika rangi tatu ili kuweza kukupa uchaguzi wa rangi inayo endana na wewe inasaidia kukupa supermodel cheekbones za ndoto yako ambazo zitakupa muonekano mzuri wa picha zako.
REVLON
Inasemakana wakati ina tengenezwa iliwekwa light-filtering technology kuifanya ngozi yako kuwa tayari kwa ajili ya picha muda wote
TOO FACED
Hii ni powder ambayo inakufanya uwe na muoneka wa Filter kama za instagram inakuja zikiwa tatu sunrise, total toasted, moon river kwaio sio tu kwa ajili ya selfie pia inakupa muonekano huo katika uhalisia.
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-selfie-matata-kwa-kutumia-hivi-vipodozi/ […]