Khloe Kardashian ni mjasiriamali na television personality ambae kutokana na umaarufu wa familia yake The Kardashian amekua ni mtu ambae anaangaliwa sana hasa katika mitindo, jana katika kipindi chake cha Kocktails With Khloe ameonekana akiwa ameweka style ya nywele iitwayo double bun
lakini kwetu tumezoea kuiita kidoti ila kidoti hiki ni cha mabutu mawili, tumependa hii style kwa sababu ni kitu cha tofauti si kila siku ufanye kile kile kwaio tume jaribu kutafuta namna ambavyo hata wewe msomaji wetu unaweza ku achieve style hii ya nywele, angalia video hapo chini kwa kuupata muonekano huo
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-style-hii-mpya-ya-nywele-ya-khloe/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/pata-style-hii-mpya-ya-nywele-ya-khloe/ […]