SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Paulah Kajala Wig Do A No No
Urembo

Paulah Kajala Wig Do A No No 

Wig, lace fronts & weaves zinaweza kuwa rafiki mzuri wa wadada au zikawa adui mkubwa kwao, kupata wig inayoendana na sura yako ni jambo moja lakini kuwa installed vyema ni jambo lingine na tunaweza kusema hapa ndipo utata utapotokeaga.

Paula Kaja ni moja kati ya watu maarufu amabo wameonekana hivi karibuni wakiwa na bad wig moment, tuanze kwakusema the wig ni nzuri na quality yake nzuri kilicho tu-disappoint ni uvaaji wa hii wig yaani hata mtoto mdogo anajua kabisa dada hapa hii nywele sio yake, the installation was not neatly done.

Well kwetu tunamwambia Paulah kama ameweza kuinvest M500 kwenye project yake basi ainvest kwenye salon pia, ni hayo tu kwa leo

Related posts

3 Comments

 1. download instagram video iphone

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/paulah-kajala-wig-do-a-no-no/ […]

 2. บาคาร่าออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/paulah-kajala-wig-do-a-no-no/ […]

 3. 다시보기사이트

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/paulah-kajala-wig-do-a-no-no/ […]

Comments are closed.