SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pearl Hair Accessory Trend
Urembo

Pearl Hair Accessory Trend 

Pearl kwa kiswahili huitwa Lulu, hizi hutumika kwenye accessory kama hereni, mikufu, bangili, vibanio vya nywele n.k. Lakini miaka michache iliyopita tumekuwa tukiona vito hivi vikiwekwa kwenye mavazi mfano suruali, magauni, blouse n.k.

Lakini maka hii ya karibuni zimeonekana kutumika kama urembo katika nywele, watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na style hii. Tukirudi mwaka jana kwenye tuzo za #dstvMVCA  tulimuona mwanadada Ayanda Thabethe akiwa amehudhuria katika Tuzo hizo huku kichwani akiwa ameshukia nywele ambazo ziliongezewa urembo huu wa pearls.

Lakini mwaka huu tumemuona msanii Nandy na stylist Vaazi wakiwa kwenye trend hii pia. Kwetu sisi tumependa hii style maana inakupa utofauti lakini pia ni statement kwenye muonekano wako.

Well Afromates je utajaribu trend hii?

Related posts

7 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  2. 168moonlight

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  3. weed store mississauga

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  4. browse this site

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  5. weed delivery Toronto

    … [Trackback]

    […] There you will find 277 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  6. heckler and koch

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

  7. unicc

    … [Trackback]

    […] Here you will find 23387 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/pearl-hair-accessory-trend/ […]

Comments are closed.