Watu wengi wanachukulia kazi ya kupaka make up rahisi kwamba mtu yoyote anaweza kufanya na hii ndio ina sababisha wimbi la watu kujiingiza katika hii kazi au kutaka kujifunza hii kazi bila kujua kwamba kuwa makeup artist napo ni sanaa ambayo inahitaji creativity na ideas tofauti tofauti, makeup artist huyu kutoka Nigeria ametufanya tuamini hayo yote.
Peletin yeye huwa ana jaribu kuwa creative na eye shadow ana chora vitu mbali mbali kama apa amechora Eagle Wing
Hapa akiwa amejaribu kucreate mchoro wa kopa
Flower Eye shadow
Mwenyewe ana sema unaweza ku create ujuzi wake na kumtag, kama utajaribu hakikisha una tutag na sisi. una weza mfollow instagram @dupsyglam
NB: siku tukipakwa eye shadow ya hivi mtafute fimbo ya sisi kutembelea maana tunafumba mascho siku nzima kushow off eye shadow yetu.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/peletin-adedoja-will-make-you-believe-that-make-up-is-a-work-of-art/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/peletin-adedoja-will-make-you-believe-that-make-up-is-a-work-of-art/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 59836 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/peletin-adedoja-will-make-you-believe-that-make-up-is-a-work-of-art/ […]