SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

PENDEZESHA KUCHA ZAKO KATIKA VALENTINE DAY
Urembo

PENDEZESHA KUCHA ZAKO KATIKA VALENTINE DAY 

February ndio imeingia na katika huu mwezi kuna ile siku moja muhimu kwa ajili ya wapendanao, Valentine Day zime baki siku 13 tu ifike.  kuna wengine hawapendi kuvaa nguo waonekane wamevaa kwa ajili ya valentine kwaio wana amua kufanya kitu kama kupaka rangi kucha, kuvaa vibanio au hata kuweka kiua tu chekundu katika mavazi yake. Hizi ni idea za kucha namna ya kupaka rangi siku hio kama hutaki kuvaa nguo nyekundu,

Unaweza kuchagua rangi aina nyingine lakini ukaweka viurembo urembo vya kiashirio cha siku hio,

f5222c77-f56e-4f3f-af7c-685d8efaa298 valentines-day-nail-art-12

valentine-nail-art-design02

 

au ukapaka nyekundu tu kama hivi,nail-cho-ngay-valentine-15 Red-White-Valentine’s-Day-Nail-Art-Designs-3 valentine-nail-art-designs_3_1

Related posts

1 Comment

  1. Realistic tattoo Khao Lak

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/pendezesha-kucha-zako-katika-valentine-day/ […]

Leave a Reply