SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment
Urembo

Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment 

Pixie cut hair style ni moja ya style ya nywele ambayo ni timeless na ni rahisi kui-maintain, style hii ya nywele inaweza kuwekwa na mwenye umri yoyote na ni moja ya style ambayo inakufanya u-standout.

Well kwasasa hapa Nchini kwetu tumeona inaanza kushika trend ambapo tumeona watu maarufu wakiwa wameweka style hii ya nywele. Tumemuona Wema Sepetu, mwanamitindo Miriam Odemba pamoja na Muna Love.

Kama ambavyo inaonekana kila mmoja wao amependeza kwa namna yake, well unaweza kuchagua style ipi kati ya hizo ambayo umeona itakupendeza zaidi na ukajaribu kuiweka, lakini kwanza tuambie je nani amependeza zaidi na style hii ya nywele?

Related posts

3 Comments

 1. Blue Foot magic Mushroom for sale online shop

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/pixie-cut-hair-style-is-having-a-moment/ […]

 2. ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/pixie-cut-hair-style-is-having-a-moment/ […]

 3. Where to Buy Changa DMT online Brisbane

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/pixie-cut-hair-style-is-having-a-moment/ […]

Comments are closed.