Kila kukicha wafanya biashara wanajaribu kubuni vitu vipya na kuwa creative, kwa sasa upande wa kucha inaonekana zimekuja kucha ambazo zina sura za mastaa mbali mbali,
yaani you can now put your favorite artist face on your nails, kwa sasa zipo sura tu za mastaa wa nje bado tunasubiri na wa kwetu nao wawekwe imagine zile team za wasanii wetu watakavyo gombania madukani
Kwa sasa tuliyemuona ameziweka hizi kucha ni female rapper anae kuja kwa kasi Cardi B na guess ameweka sura ya nani? ameweka sura ya mpenzi wake kutoka kundi la Migos anaye itwa Off Set
Swali je zikija Tanzania utaweka na kama ndio sura ya nani mpenzio au favorite artist wako? tuambie kupitia account zetu katika mitandao ya Kijamii
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 69302 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/portrait-nails-are-happening-and-cardi-b-did-it-first/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 93304 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/portrait-nails-are-happening-and-cardi-b-did-it-first/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 54650 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/portrait-nails-are-happening-and-cardi-b-did-it-first/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/portrait-nails-are-happening-and-cardi-b-did-it-first/ […]