SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

QUEEN OF ACCESSORIES – ERYKAH BADU
Urembo

QUEEN OF ACCESSORIES – ERYKAH BADU 

Wazazi wake walimpa jina Erykah Abi Wright ambae amezaliwa mwaka 1971 lakini jina lake la stage ni Erykah Badu, growing up kipindi hiko kila mtu alikuwa into Erykah sio tu sauti yake bali ni vile alikuwa ana tupa curiousness za kuona nywele zae, Erykah ni mwanamuziki, muandikaji mashairi, na muigizaji lakini pia ni producer,

Leo hatupo kumuongelea Erykah ni nani bali tupo kuongelea her ridiculous insanely beautiful ways za ku accessorize mapambo yake, Erykah ni kama wanawake wengine ana penda mapambo kasoro yetu sisi wengine na yeye ni kwamba yeye yupo unique.  ana weza kuvaa mapambo ukajiuliza hiki ni nini lakini jinsi alivyo kivaa kitakuvutia,

Kitu kingine kutoka kwa Erykah ni mpenzi wa vitu vya ki Africa na practice African culture sana, hii way yake ya kuaccessorise na kufanya vitu vya ki Africa ili mfanya shabiki wake mmoja kumuuliza kama yeye ni mchawi na jibu lake lilikuwa ndio, of course huwezi kumuuliza mtu swali kama hilo kisa tu ana vaa urembo mwingi duuh

akiwa ana paka nywele zake rangi ” tumesha ona hii wa South Africa people”

Ukiwa una muongelea badu una weza kusema she is a queen wa accessories hatudhani kama ana nguo nyingi kama alivyo na accessorize

kitu ambacho tumejifunza kutoka kwa Erykah ni kwamba there is no such a thing like too much accessories as long as zimepangiliwa vizuri, kuwa wewe & be true to your self hicho ndicho kinacho kutofautisha wewe na wengine.

 

“In the right uniform I could fu$k around and make a billion tax free dollars, leading a flock of believers who only recognize some one’s INNER enlightemnment thru their choice of “OUTfit” -e.badu

Related posts

3 Comments

  1. สร้างเว็บไซต์

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/queen-of-accessories-erykah-badu/ […]

  2. Gelato 33 1g Diamonds

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/queen-of-accessories-erykah-badu/ […]

  3. Buy DMT online Victoria

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/queen-of-accessories-erykah-badu/ […]

Leave a Reply