SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ramadhani Beauty Looks From Tanzanian Celebrities
Urembo

Ramadhani Beauty Looks From Tanzanian Celebrities 

Mwezi mtukufu wa Ramadhani umeanza na kama kawaida watu maarufu wengi huwa wanatupa looks za stara katika mwezi huu Mtukufu, kila mmoja anajitahidi kupendeza na looks zake za stara, tumewaona watu maarufu kadhaa wakiwa wamependeza na hijab zao na makeup pia, well ukifunga haimaanishi usipendeze.

Tumemuona Hamisa Mobetto, Tessy Pamoja na Nandy wakiwa wamepaka makeup zao nzuri na kumalizia mionekano ya hijab na accessories ndogo ndogo.

Lakini pia tuliwaona Meena Ally, Tanasha Donna na Frida Amani nao wakiwa wamependeza na looks zao za makeup na hijab

Kama una mtoko au ungependa kupendeza tu katika mwezi huu mtukufu basi hizi looks zinaweza kuwa inspiration yako.

Related posts