SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo
Make Up

Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo 

Mwezi mtukfu wa Ramadhani umeanza, na kama ilivyo kawaida ya mwezi huu watu wengi hutumia muda wao kufanya yale yanayo mridhisha M/Mung kama kufnga, kujistiri na kufanya yale yaliyo mema. Ukifikaga mwezi huu huwa tunasubiri kuona transition ya watu maarufu kutonyesha namna wanavyoweza kutoka katika mavazi yao ya kila siku na ku-cope na yale ya mwezi huu mtukufu.

Tulizoea kusubiri kuona wakia attend event mbalimbali za Iftar lakini kutokana na ugonjwa huu wa Covid 19, hatudhani kama kutakuwa na mikusanyiko yoyote mwaka huu lakini hii haija wafanya watu maarufu hawa waache kutuonyesha walichovaa au beauty looks zao,

Tunae Wema Sepetu ambae amekuwa dolled up na makeup artist Rose Kayuga, tumependa hii makeup kutoka kwake ikiwa ni simple lakini pia neat look.

Linah Sanga,yeye alikuwa face beaten na makeup artist smart beaut parlor yeye alichagua kumpa Linah simple nude look, ambacho tumependa zaidi ni namna ambavyo makeup hii ime blend na skin tone ya Linah

Lulu Diva yeye pia alikuwa baked na makeup artist Rose Kayuga, Lulu yeye alichagua kuwa bold na make up look yake, tunadhani hii imetokana na mavazi ambayo ameyavaa ni kama Indian theme look na akaamua kuwa bold kwenye mavazi na makeup pia

Tunae msanii na video vixen Amber Ruty yeye amebadilishwa kabisa tunaweza kusema power of makeup, she looks total different (in a good way). Tumependa hii blush pink look kutoka kwa makeup artist Kassa Makeup

Well Afromates Je Makeup Look Ya Nani Imekuvutia Zaidi?

Related posts

5 Comments

 1. try this

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ramadhani-beauty-looks-from-wema-sepetu-linah-sanga-lulu-diva-na-wengineo/ […]

 2. cam soda bbw

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/ramadhani-beauty-looks-from-wema-sepetu-linah-sanga-lulu-diva-na-wengineo/ […]

 3. marijuana for sale on the internet

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ramadhani-beauty-looks-from-wema-sepetu-linah-sanga-lulu-diva-na-wengineo/ […]

 4. buy psilocybin microdose united states​

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ramadhani-beauty-looks-from-wema-sepetu-linah-sanga-lulu-diva-na-wengineo/ […]

 5. spadegaming เล่นเกมยิงปลา วันนี้ รับเครดิตฟรี

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/ramadhani-beauty-looks-from-wema-sepetu-linah-sanga-lulu-diva-na-wengineo/ […]

Comments are closed.