Kumuuliza mtu anaependa rangi za kucha ni rangi ipi anayo ipenda zaidi ni kama kumuuliza mama ni mtoto yupi anae mpenda zaidi, ni ngumu kuchagua lakini atakuepo mmoja ambae ndio chaguo lake. Hawa ni baadhi ya watu maarufu wanao fanya kazi na makampuni ya rangi za kucha walipo ulizwa ni rangi gani ya kucha wazipendazo.
April Foreman
“Naipenda Chanel Le Vernis ambayo inauza $27.00( sawa na 54000Tzs.) Ni rangi ianyo endana na msimu huu ya kisasa na ina madoido ni rangi ya kijani iliyo koloea”
Fariha Ali
“Naipenda rangi ya bluu kutoka Club Nail Lacquer ambayo inauzwa $8.50 (ambayo ni sawa na 17000Tzs)ni nzuri ukivalia na jeans na ya kisasa zaidi.
Elena Capo
“Rangi yangu pendwa msimu huu ni kutoka Tom Ford Nail Lacquer ambayo inauzwa $35.00( ambayo ni sawa na 70000Tzs) inaendana na msimu huu na pia imekaa kikike ina pendeza kwa kucha zote ndefu na fupi”
Gina Edwards
“unaweza kuvaa rangi ya Morgan Taylor Nail Lacquere inauzwa $8.50 (sawa na 17000 Tzs) peke ake na ukapendeza au ukaongezea rangi nyekundu kuipa muonekano mzuri zaidi.
Lisa Logan
“Rangi za kucha ni muhimu katika saloon yangu kwa msimu huu napenda rangi za nude kutoka Nails Inc NailKale ambayo inauzwa $14.00 (sawa na 34000Tzs)
Miss Pop
“Napenda rangi ya chungwa kutoka OPI Nail Lacquer ambayo inauzwa $9.50 (sawa na 19000Tzs) ni nzuri ya kike na ya kipekee.
Tracylee
Anaipenda rangi ya pink kutoka Dior $27.00 (sawa na Tzs54000)
Deborah Lippmann
Anaipenda rangi ya pink mkolezo kutoka Miss Independent inauzwa $ 18 (sawa na tzs 36000)
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 59027 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 76425 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/rangi-za-kucha-8-zinazo-pendwa/ […]