SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Desire Liquid Matte Lipstick By Huddah Cosmetics
Is It Worthy Your Coins

Reviewing Desire Liquid Matte Lipstick By Huddah Cosmetics 

As we keep on na review yetu ya African beauty products, leo naomba tufanye review yetu ya Desire Matte Lipstick by “HUDDAH”.

Huddah ni mwanadada kutoka Kenya ambae ana own Beauty Product Line inayokwenda kwa jina la Hudda Cosmetics, Well i had a dream ya kutumia her products kitambo kidogo, and finally a dream came true.


Kuanzia ingredients japo nimetazama kwa uharaka lakini zipo vizuri. Kwa mimi nikitaka kununua products especially lipstick maranyingi napenda kuangalia ingredients zilizotumika sababu huwa na mtihani kidogo. Lakini for this naona imekuwa good kwangu.


Kwanza kabisa huwa napenda kutumia moisturiser nikiwa napaka matte lipsticks lakini kwa hii haina ulazima sababu tayari ina coconut oil ambayo huwa inatumika kama moisturiser so its a beautiful thing.
HAHAHA i saw a video kwa @huddah her self amepaka the same lipstick amekula, amekiss na bado haijatoka so i wanted to try it the same lipstick guess what??? Nilichokiona ndicho nilicho kipata

Ubora wake

  • Ina moisturizer kabisa sababu ya coconut oil so ni rahisi kupaka.
  • Halifanyi mdomo kuwa mkavu saaaana mpaka ukose uhuru, ipo vizuri “weightless “
  • Inakaa muda mrefu bila kubanduka au kutoka toka.

A REQUEST. yes tuna request to our beloved huddah and every african beauty brand, naomba tuwekewe chata (nembo ya halal), yaaan tuwekewe ingredients halal na nembo iwepo pia.

All in all am happy kutumia product yake. inafit vizuri sana. Hongera dear hudda.

Reviewed By @Tunu_designs

Related posts

2 Comments

  1. Double Cupcake 1g Diamonds

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/reviewing-desire-liquid-matte-lipstick-by-huddah-cosmetics/ […]

  2. magic mushroom capsules for sale

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/reviewing-desire-liquid-matte-lipstick-by-huddah-cosmetics/ […]

Comments are closed.