SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Reviewing Zuchu New Song Cover
Urembo

Reviewing Zuchu New Song Cover 

Zuchu ni msichana mdogo na we can tell kwamba anapenda ku-explore vitu vipya na kujaribu kufikiri nje ya box. Ametoa wimbo mpya uliopewa jina “sukari” na kwa hype ya huu wimbo tulikuwa tunasubiri kwa hamu kuona video yake kwa bahati mbaya kwa sasa ame-release audio na cover ya wimbo huu.

Wimbo ni kuhusu sukari, something kitamu tumeelewa kuhusu hizo popis lips, ambacho tumeona kipo off ni hizi baby hair tunatamani zingefanywa neatly, pia tunadhani muda umefika kwa hair stylist kujua namna ya ku-match attached nywele na nywele za asili kwani ku dye nywele natural zikaendana na rasta ni pesa ngapi?

Kingine ni Zuchu hii top, top inaonekana kubwa na imelazimishwa kufungwa nyuma ndio maana mbele inaonekana kama imevutwa, ukiangalia vyema upande wa kushoto ni kama imemwagiwa maji au kuna kitu kiliangukia, hatujajua kwnaini wameruhusu hizi picha kutoka hivyo hivyo.

Lastly Zuchu legeza shingo

Related posts

2 Comments

  1. where to get psilocybin mushrooms​ Australia

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/reviewing-zuchu-new-song-cover/ […]

  2. ป้ายโฆษณา

    … [Trackback]

    […] Here you will find 2288 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/reviewing-zuchu-new-song-cover/ […]

Comments are closed.