Wakati hata hatuja master kupata a perfect winged eye liner ikaja bubbled winged eye liner wakati bado tuna yumba yumba na hio ghafla ime kuja ribbon winged eye liner.

Our beautiful Ladies kutaneni na trendi eye liner kwa sasa una weza kuiita ribbon eye liner, corkscrew liner, au spiral liner.

13724651_502459449959910_547534073_n-630x472 14063259_998232050275550_1358158094_n-630x472

14099449_1784300665176443_1964981899_n-630x630

 

14099782_871221452977691_2114938232_n-630x786

14269162_1725919887660821_2108222867_n-630x544

una weza kutazama video chini kujifunza namna ya kupaka eye liner hii

Tuambie je kwako ime pata kura ya ndio au hapana? kupitia Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz