SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna is coming For Your Coins With The Fenty Sunglasses
Urembo

Rihanna is coming For Your Coins With The Fenty Sunglasses 

Wakati Rihanna akianza muziki sote tulikuwa tunajua she means business and she ain’t going nowhere lakini ambacho tulikuwa hatujui ni kwamba alikuwa na mipango yake mingine, Rihanna amejiingiza katika biashara ya mavazi na urembo na kama ambavyo tunajua she is a fashion icon basi watu wengi wanapenda kuvaa mavazi yake, kuanzia collaboration yake ya Fenty X Puma ambayo ilifanya vizuri, clothing line yake ya Savage savage X Fenty na sasa ana Fenty beauty seems like Rihanna is one busy mama.

Hivi karibuni shabiki zake wamekuwa wakiulizia kuhusu kutoa album na mziki mpya Riri amesema watapata hivyo vyote mwaka huu na kabla ya kupata huo mziki mpya tunaousubiri kwa hamu Riri anaonekana kuja na kitu kipya na sasa ni miwani ya Fenty.

Mwaka 2017 wakati amehudhuria katika red carpet ya Cannes Film Festival Rihanna alihudhuria akiwa amevaa tiny sunglasses & hell broke loose kila mtu alivaa hizi sunglasses mwaka 2018 mpaka tumeomba mwaka 2019 ziachwe

Seems like Rihanna kaliona hilo amerudi na trend mpya ya miwani na safari hii ni oversized shade ambazo tumeona alizovaa zimeandikwa jina lake la Fenty ambapo amefanya watu wajiulize is she coming for our coins? je miwani hizi zitaanza kuuzwa na hii itakuwa ndio new product kutoka kwake?

Rihanna ali pair miwani yake hii na neon t-shirt, oversize blazer , skin jeans na blue boots zilizomatch na blazer yake huku akiwa amemalizia na mini handbag

Alionekana tena na miwani hii akiwa amevalia na brown coat, all black outfit na blue boots akiwa amemalizia na her favorite Dior Saddle Bag

Well Afromates will you chop the glasses or nah?

 

 

 

 

 

 

Related posts