SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna Kuachia Vipodozi Vyake
Downloaded from www.sexydesktop.co.uk
Habari

Rihanna Kuachia Vipodozi Vyake 

Downloaded from www.sexydesktop.co.uk

Rihanna wengi tunamjua kutokana na kazi yake Muziki, lakini pia amekua chachu katika ulimwengu wa Mitindo na Urembo. Akiwa tayari  ameshafanya kazi na makampuni makubwa ya vipodozi kama MAC, Haishangazi hata kidogo kuona sasa hivi anataka kutoa vipodozi vyake mwenyewe. Katika mahojiano  ya hivi karibuni na Refinery29, Rihanna amesema ratiba yake imembana sana kiasi cha kushindwa kushiriki katika mradi wake huo wa vipodozi, Lakini anahamu kubwa kufanya hivyo.

“There are a lot!” says Rihanna. “Lashes that could just put themselves on… lipstick that doesn’t move, but doesn’t dry your lips out, that you don’t need a liner for. I mean, it sounds so unreal.”

(“Kuna mengi” alisema Rihanna ““nyusi, lipstick ambazo hazi futiki haraka lakini hazikaushi midomo yako,ina sikika kama haina uhalisia.”)

“Ni dhahiri hiko ni kitu ambacho nataka kukifanya, niwe nacho mikononi mwangu na ninge penda kukifanya” amesema Rihanna kuhusu kuwa na kampuni yake ya vipodozi. “ ni kitu ambocho daima nataka kukifanya, lakini nina mambo mengi ya kufanya mikononi mwangu, lakini wakati huu ntahakikisha nafanikisha. Ntajaribu kutafuta muda katikati ya manukato na Mziki nifanye Vipodozi naahidi.

Rihanna ambae hivi karibuni ame toa Manukato yake yaaitwayo RiRi, amesema vitu ambavyo ana taka viwepo kwenye bidhaa zake za vipodozi.

 

Chanzo: BET

Related posts

1 Comment

  1. ประกันภัยโดรน

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/rihanna-kuachia-vipodozi-vyake/ […]

Leave a Reply