Muigizaji Ruby Rose ambae anaigiza katika Tamthilia ya Orange is a new Black, ame leta theme ya jina la tamthilia hio katika red carpet ya peoples choice awards 2017 iliyo fanyika jana Los Angels, California. Ruby ame vaa orange suit kutoka kwa mbunifu Veronica Beard, to make it look sexy ali ditch kuvaa shirt ya ndani so alikua bra-less na aka accessorize na long necklace (who ever style Ruby is not her to play).
Lakini kilicho catch macho yetu hasa ni face beat (makeup) na nywele zake it was just a perfect combination (combo) with the orange suit akapata ile sexy & strong boyish look.
The lip color is to die for, jinsi ambavyo ime make statement na rangi ya suit na macho yake, Ruby totally looked FIERCE on PCA’s She Won Our Hearts
Celebrity makeup artist Jo Baker ndie aliye m-face beat Ruby Rose na lip stick aliyo itumia ina aminika ni color is Blackmail, a shade from Urban Decay’s new Vice Liquid Lipstick range
Urban Decay Vice Liquid Lipstick in Blackmail ($18) ambayo sawa na TZS 39600.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…