SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Scrub Ya Kuondoa Ngozi Iliyokufa Katika Ngozi Ya Uso Na Shingo
Urembo

Scrub Ya Kuondoa Ngozi Iliyokufa Katika Ngozi Ya Uso Na Shingo 

Uso na shingo ni sehemu ambazo zinakuwa exposed sana na jua au hali ya hewa yoyote kuliko sehemu nyingine za mwili. Usipokuwa makini na kuzijali basi zinaweza kuwa na muonekano wa tofauti na sehemu nyingine za mwili.

Ngozi ilikufa inatokana na nini?

  • Umri
  • kutokusafisha ngozi vyema
  • mabadiliko ya hali ya hewa
  • kutumia mafuta ya ngozi siyo
  • Jua N.K

Leo tunaongelea namna ya kuondoa ngozi iliyokufa katika sehemu hizi mbili yaani usoni na shingoni

Mahitaji 

  • Nyanya moja kubwa
  • Kijiko kimoja cha sukari ya brown 
  • Muda wa kuandaa: Dakika 1

Maelekezo 

  • Kata Nyanya nusu kipande 
  • Chukua kipande kimoja didimiza kwenye sukari 
  • Sugua kwenye uso na Shingo kwa kuzunguka ” circular motion”
  • Osha na maji na ujikaushe. 


©binturembo 

Related posts

3 Comments

  1. best weed websites

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/scrub-ya-kuondoa-ngozi-iliyokufa-katika-ngozi-ya-uso-na-shingo/ […]

  2. learn the facts here now

    … [Trackback]

    […] Here you will find 44293 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/scrub-ya-kuondoa-ngozi-iliyokufa-katika-ngozi-ya-uso-na-shingo/ […]

Comments are closed.