SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Self Care Checklist To Do This Weekend
Urembo

Self Care Checklist To Do This Weekend 

Baada ya week nzima ya stress za kazini, kwenye biashara, heka heka za watoto mashuleni etc weekend ni wakati mzuri wa kujijali wewe pamoja na familia yako. Ikiwa wengi tunadhani selfcare ni kwa wenye pesa au kutoka kwenda sehemu ambazo utafanyiwa huduma fulani lakini kumbe unaweza kufanya hivi vitu mwenyewe nyumbani.

Fanya Mazoezi

Haina haja ya kwenda Gym sasa hivi kuna applications mbalimbali ambazo unaweza ku-download na ukafanya mazoezi nyumbani. Kufanya mazoezi kunakusaidia kufanya mwili uwe tayari kukabiliana na week ijayo lakini pia unapata muda wa kuondoa calories ulizozi-consume week nzima.

Jali Ngozi Yako

Yes inawezekana kwa week nzima hukupata muda wa kujali ngozi yako, ni makeup bandika bandua chukua muda huu kufanya skin care routine, fanya facials etc lakini pia huitaji kwenda kwenye spa au sehemu wanazofanya huduma hizi unaweza kufanya nyumbani ukiwa na vifaa sahihi artificial au hata vya asili,

Kula Vyakula Vyenye Afya

Kutoka kwenye mihangaiko na kurudi kuanza kupika inaweza kuwa hustle kwako unaweza ukawa unanunua vyakula nje au unapika vyakula visivyo healthy ili uwahi kula na kupumzika, weekend ndio nafasi pekee unayoweza kusahihisha hili kwa kula healthy ilikuupa mwili wako nguvu na afya ya kukabiliana na mihangaiko ya week inayofuata.

Related posts

4 Comments

  1. wegovy weight loss near me​

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/self-care-checklist-to-do-this-weekend/ […]

  2. penis envy mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/self-care-checklist-to-do-this-weekend/ […]

  3. Engineering

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/self-care-checklist-to-do-this-weekend/ […]

  4. buy vigrx plus

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/self-care-checklist-to-do-this-weekend/ […]

Comments are closed.