SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Shanga Inavyo Chukua Nafasi Katika Urembo
Urembo

Shanga Inavyo Chukua Nafasi Katika Urembo 

Toka movie ya Black Panther  itoke ni kama ime tu-boost wa Africa kama ume notice kwa sasa watu maarufu wengi wanajaribu kutukuza tamaduni zetu,hasa kupitia mavazi na urembo. Watu kama WCB siku hizi wanavaa sana vitenge, lakini pia Wema Sepetu, Jacqueline Wolper uko Nchi za wenzetu napo hawapo nyuma.

Well sio kitenge tu ambacho kimeonekana kutamba lakini sasa hivi watu maarufu wana ditch vito vyao vya thamani na kuvaa shanga once in a while for the culture. Imekuwa kama trend japo haija onekana mara nyingi sana na watu ku-notice lakini ipo  na inaelekea kukua siku mpaka siku

Tumemuona msanii Nandy sio mara moja bali mbili akiwa ame accessorize miguu yake na shanga, yaani amevaa vikuku vya shanga ila hii aliyo vaa na kitenge ndiyo ilituvutia zaidi a full African Girl with Fulani Braids.

 

Mwanamuziki Kutoka Nigeria Tiwa Savage yeye alivaa a head piece ya shanga huku akiwa amepaka make up yake nzuri you don’t have to be all natural, spice it up with modern touch’s

Diamond Platnumz ali-ditch his layering necklaces for a shanga choker, he looked great akiwa amevalia choker hii na suruali ya kitenge na white T-shirt.

Inaweza kuwa trend kwa sasa na kama utavaa husisite kututag katika social network zetu.

Related posts

6 Comments

  1. try this website

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

  2. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

  3. ไซด์ไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

  4. continue reading this..

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

  5. Study in Africa

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

  6. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/shanga-inavyo-chukua-nafasi-katika-urembo/ […]

Comments are closed.