A bad Hair styles ina weza kusababisha siku yako kuwa mbaya pia, amini pale nywele zinapo kuwa nzuri una weza kutokelezea na make up simple na mavazi casual ila ukawa ume pendeza kupita maelezo. Hizi ni hair styles tulizo ziona huko katika mitandao ya kijamii ambazo ni simple lakini very cute, una weza kufanya mwenyewe au unaenda salon. Tulicho pendea kuhusu hizi style ni kwamba ni protective hazi haribu nywele zako pia una weza kukaa nazo kwa muda bila watu kukuchoka
Big crossed cornrows
milk braids actually hii tumeipenda zaidi, una weza kuistyle na ukaingia nayo popote
Up front bun
Faux locks kutoka kwa Jenifer Kyaka tume penda jinsi alivyo jaribu ku style hii trending hair style kipeke yake
Sided Up Front bun kutoka kwa shishi
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…