SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sishkikii Na Safari Yake Katika Skin Lightening
Urembo

Sishkikii Na Safari Yake Katika Skin Lightening 

Fashionista Sishkikii ame-reveal kuwa anaanza safari ya kung’aza ( lightening) ngozi yake, well tulishawahi kuongelea kuhusu utofauti kati ya skin lightening na skin brightening. Ila kwa kifupi tu

  • Tunapoongelea Lightening ( Kung’aza)

Tunaongelea kung’aza ngozi kuwa katika hali ya kawaida, hii ni kama pale unapopata makovu ya chunusi, ngozi kupigwa na jua n.k. Lengo la kuang’aza ngozi ni kufifisha madoa yasiyotakiwa na kuipa ngozi yako rangi yake ya asili.

Well Sishkiki amesema kwasasa yeye ameanza safari yake ya kung’aza ngozi yake na kwamba katika hii safari yake atakuwa muwazi kwa vitu anavyo vitumia na progress zake katika kufikia rangi anayoitaka, angalia video hapo chini ambapo ameelezea kwa urefu zaidi lakini pia unaweza kumfuatilia katika instagram yake @sishkikii

Related posts

1 Comment

  1. his comment is here

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/sishkikii-na-safari-yake-katika-skin-lightening/ […]

Comments are closed.