SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Skin Do & Don’ts
Urembo

Skin Do & Don’ts 

Kuna vitu vidogo sana lakini ukiacha kuvifanya na kuna ambavyo ukivifanya vinaweza kuleta impact kubwa katika ngozi yako.

Vitu vya kufanya:

  • Kunywa Maji
  • Safisha ngozi yako ya uso mara mbili, hii namaanisha osha uso wako mara mbili kila ambapo unaosha uso.
  • Exfoliate taratibu
  • Zingatia lishe yako
  • Angalia Ingredients / viungo vilivyopo kwenye product yako kama ni salama

Vitu vya kuacha kufanya:

  • Usikamue chunusi
  • Usisahau kupaka mafuta
  • Usiache kupaka Sun Screen
  • Usiguse uso wako mara kwa mara
  • Usilale muda mchache

Umuhimu Wa Kusoma Lebo Katika Vipodozi

Umuhimu Wa Kupaka Sunscreen Katika Ngozi

Related posts