Make up ilizoeleka kuwa kwa ajili ya kwenda katika sherehe mbali mbali katika miaka ya zamani, lakini kwa sasa make up zina tumika kama urembo wa kawaida na kwa ajili ya kuonyesha uwezo wa make up artist katika kazi yake. Hii ime pelekea ma make up artist kujaribu mamba mbali mbali kama kujibadilisha kuwa mtu mwingine, kutumia make up kuweka vidonda nk lakini leo tuna waona hawa walio leta snap chat filters katika reality yaani wao wame amua kupaka make up zinazo endana na zile filters zilizopo katika mtandao wa kijamii uitwao snap chat
Strawberry-Face Filter
The Rainbow Filter
The Jeweled Filter
The Pop Art Filter
The Glam Lion Filter
una weza kuangalia moja ya tutorial hapa chini lakini pia una weza kutembelea Youtube ukazipata nyingi zaidi
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/snap-chat-filters-zilivyo-letwa-katika-reality/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/snap-chat-filters-zilivyo-letwa-katika-reality/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/snap-chat-filters-zilivyo-letwa-katika-reality/ […]