Tumebakiza siku chache Eid ifike, wabunifu wametoa collection zao mpya za Eid kuanzia viatu mpaka mavazi lakini ma make up artist nao hawakuwa nyuma kutuonyesha namna gani unaweza kupaka makeup yako siku hio ya Eid, na moja kati ya makeup artist wazuri kabisa kutoka Tanzania Grace Malikita a.k.a Cherie Mals ametuonyesha tutorial yake ya namna unavyoweza kujipendezesha siku hii ya eid.

Tazama hapo chini

Comments

comments