Beads Braids bado zina trend na tunaweza kusema African’s we are real pushing through na hii mitindo ya nywele tunayo ianzisha na kuongezea urembo tofauti tofauti kufanya misuko yetu ionekane ya tofauti.
Mwanadada Solange Knowles ambae ni mdogo wa Beyonce ameonekana akiwa amesukia rasta za blonde huku akiwa ameongezea na nyekundu, ambapo the hair style ili stand out yaani anauwezo wa kuvaa casual lakini akawa ame-make statement na nywele zake.
Lakini hivi karibuni tumemuona Fashionista kutoka South Africa Athi-Afikile, na yeye akiwa amesukia same style lakini yeye aliamua kuwa tofauti kidogo kwa kusukia nywele nyeusi na kuweka beads nyeausi pia pia alivaa matrix glasses kama za Solange lakini yeye aliamua kuvaa nyeusi “black on black”
Je kama ungeambiwa usukie hii hair style nani angekuwa inspiration yako kati ya Solange na Athi-Afikile,
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/solange-vs-athi-afikile-beads-braids-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/solange-vs-athi-afikile-beads-braids-hair-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/solange-vs-athi-afikile-beads-braids-hair-style/ […]