SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Spice Up Your Makeup Game By Using Colored Eyeliner
Make Up

Spice Up Your Makeup Game By Using Colored Eyeliner 

Tunapenda ikija trend ambayo ipo exciting na inawezekana kufanyika kwa urahisi hasa ikiwa a good beauty trend, kuwaona watu wanapendeza inatupa such a good feeling. Imeonekana katika ulimwengu wa mitindo wameongeza kitu kipya kwa sasa nacho ni colorful eyeliner, tunamaanisha sahau kuhusu boring black eyeliner & sahau kuhusu kutumia muda mwingi kupaka eye shadow ikae sawa kwa sasa unaweza kupaka tu colorful eyeliner yako na ukapendeza na kuonekana ume-make effort katika uso wako.

Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na trend hii akiwapo Rihanna, toka Rihanna ameingia katika maswala ya urembo tumekuwa tukisubiri atafanya nini upande hii, amesha fanya vingi katika upande wa fashion amesha set trend nyingi nyingi we can’t wait to see a beauty trend atakayo ileta.

Katika Paris Fashion Week Rihanna alikuwa spotted akiwa amepakwa eyeliner nyeupe, aliacha eyeliner iongee kwa kupaka nude lipstick na simple makeup do

Asian Doll yeye alionekana akiwa amepaka eyeliner ya pink tofauti na Rihanna yeye alipaka wanha na lipstick katika midomo yake, still looks good though.

Ni trend ambayo inaendelea kwa sasa duniani tumeona makeup artist mbalimbali lakini pia hata watu wa kawaida wakiwa wamejaribu & we have to say we will try this too.

Tuambie je utajaribu?

 

Related posts