Kama unafuatilia urembo au blog yetu hii utakua ulisha isoma, kwa sasa trend mpya ya nyusi ni Squiggle Brows ambazo zinakaa kama nyoka au matuta, Make up artist wame itrendisha sana hii na seems like rapper wa kike kutoka Tanzania ambae ana style za kipeke yake Rosa Ree hajataka kupitwa na hii trend.

Rosa Ree ameonekana akiwa aweka nyusi zake Squiggle Brows, akiwa amepaka dark lipstick na amevalia crop top nyeusi,tumezipenda za Rosa Ree hajaziweka mawimbi sana hizi mtu yoyote anaweza kuzirock kama ni msichana kwa wamama mmh we don’t think so

 

Tuambie hapa je ni yay au nay?