Joto ni kali sana kipindi hiki na nywele ni kitu kikubwa ambacho kina tupa stress hasa pale ambapo huzija wekwa vizuri au chafu zina washa mno, lakini pia kama ume suka manywele mengi basi joto huzidi mara dufu ni vizuri kipindi hiki uka tumia staili zifuatazo hili kuepukana na hadha ya joto,
Bantu Knots: haya ni kama matunguu lakini yenyewe ya kusokota yana weza kufanywa na nywele za asili lakini hata kama ume suka rasta pia inawezekana, ni nzuri kipindi cha joto kwa sababu upepo hupita liurahisi na hazisababishi joto mwilini wala kutoa jasho
Minyoosho: ni staili nyingine ya nywele ambayo husaidia kukabiriana na joto katika kipindi hiki, unaweza kusuka kwa nywele zako mwenyewe au ukaongezea na rasta ni nzuri kwa maana hazikusumbui nazo pia hupitisha upepo
Wigs: wigs ni nzuri kipindi hiki kwa sababu una vaa na kuvua una weza kusuka matunguu lakini wakati una umuhimu wa kwenda mahala uka vaa wig lako na shida yake ikiisha ukalivua na kuendelea kufanya mambo mengine.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/staili-za-nywele-kipindi-hiki-cha-joto/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 95190 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/staili-za-nywele-kipindi-hiki-cha-joto/ […]