SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Steps To Glow Skin
Urembo

Steps To Glow Skin 

Kupata ngozi nzuri yenye kuvutia si swala la siku moja, inahitaji uvumilivu na consistency. Utapokuwa na kupata matokeo kwa haraka unaweza usipate kabisa matokeo mazuri, utabadilisha products na pesa bila kupata matokeo, hizi ni steps chache za kupata glow skin:

  • Maji

Anza siku yako kwa glass ya maji ya uvuguvugu yenye slice ya limao ndani yake, lakini hii tu haitoshi bali hakikisha unakunywa si chini ya glass nne za maji kwasiku, maji husaidia, Ngozi kuwa na afya na yenye kuvutia, unywaji maji ya kutosha unfanya ngozi yako iwe na rutuba na kuondoa mikunjo

Faida za maji ya limao

  • Self Love

Unachojisikia ndani ndicho ambacho kitatoka nje, ukijipa msongo wa mawazo kwa kujijadili kuhusu muonekano wako basi lazima utaharibika ngozi, hakikisha unaji-compliment kilasiku, unafikiria kuhusu mawazo chanya zaidi ya mawazo hasi.

Athari Za Msongo Wa Mawazo Katika Muonekano Wako 

  • Skin Care

Kunywa maji na kutokuwa na stress hivyo tu haviwezi kusababisha kuwa na ngozi nzuri bali pia unahitaji kuijali ngozi yako, nunua vipodozi vinavyoendana na ngozi yako, kula vyakula vinavyorutubisha ngozi yako , paka sun screen kuikinga ngozi na miale ya jua na kuwa na skin care routine.

Jinsi Ya Kutunza Ngozi Kilasiku ( Skin Care Routine)

  • Beauty Sleep

hakikisha unapata masaa yako 8 ya usingizi hata mara 4 kwa week.

Faida za kulala vya kutosha

  • hupunguza mikunjo katika ngozi
  • ngozi hujikarabati yenyewe usiku
  • Your skin product may work better ( kama huwa unapaka skin care products usiku ukipata masaa mengi ya kupumzika unazipa product zako muda mwingi wa ku-function)
  • Kufanya ngozi iwe na afya

Related posts