SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stitch Braids Styles Ideas From Irene Uwoya
Hair

Stitch Braids Styles Ideas From Irene Uwoya 

Ni sisi au ni kwamba rasta zimepungua kiki sio kama mwaka jana? well mwaka jana tuliona watu maarufu wakiwa wamesukia rasta watu kama Rihanna, Beyonce,Kelly Rowland na wengine wengi walionekana na style za rasta japo mwaka huu hatujaona sana lakini tunachoona kinakuja kwa kasi mwaka huu ni watu maarufu kukaa na natural hair, anyways tumeona style ya snitch braidsΒ  kutoka kwa muigizaji Irene Uwoya na zimetuvutia kukuletea hapa na wewe uweze kuiga.

Zinaitwa Stitch braids ambazo ni aina ya msuko wa rasta inayo kuwa kama na vijumba jumba ambavyo vinavutia mno

Mara ya kwanza tulimuona na hizi stitch braids alikuwa amesukia twende kilioni na rasta

Mara ya pili alisuka ikilimanjaro style ambapo aliongezea na hair rings amependeza mno

 

Tuambie unauonaje msuko?

Related posts