Tunakumbuka kuongelea kuhusu nywele kwamba unaweza ukawa na nywele zako bandia chache lakini zenye quality nzuri hata kama ni gharama sana lakini ni afadhali maana itadumu na unaweza kubadilisha utakavyo, Well sote tunajua kwamba katika vitu ambavyo wanawake wanavipenda ukiachana na viatu,mavazi na jewelry ni nywele, ni mara chache kukuta mwanamke haja tengeneza nywele zake vizuri lakini kuna wale wengine ambao uenda extra miles wakipenda kitu na hii imetokea huko Nigeria ambapo mwanamitindo Chika Lann amesema style yake ya nywele aliyo sukia “kiko hairstyle” imemgharimu Milioni 40,000,000/- za ki Nigeria (Naira) ambapo ni sawa na Milioni 252,784,000/- za Tanzania.
View this post on InstagramA post shared by Pulse NG (@pulsenigeria247) on
Akiwa ana fanya interview na Pulse Nigeria mwanamitindo huyu amesema yeye anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha alimradi a-stand out na kuwa unique tofauti na wengine
Well hair style yake ni kama zile nywele za uzi zilikuwa zinasukwa zamani, only hizi zimesukwa ndefu na kuwekwa katika style nzuri. Tuna maswali mawili tu Je analalaje usiku? Na kwako wewe msomaji unadhani ni kiasi gani upo tayari kulipia katika kutengeneza nywele zako.
Tuambie kupita account zetu katika mitandao ya kijamii
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/style-hii-ya-nywele-ina-thamani-ya-milioni-252784000/ […]