SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

STYLE MPYA YA RAPPER YOUNG JOC YAGEUKA ZOGO
Hair

STYLE MPYA YA RAPPER YOUNG JOC YAGEUKA ZOGO 

rapper young joc kutoka majuu ame ingia kwenye headlines baada ya sijui kuweka nywele dawa au kashonea weaving, unajua ukiwa rapper unakua mgumu hutakiwi kujiremba na vitu kama hivyo ma rapper wengi hupenda kuweka urembo ambao wa kigumu kama tattoo’s, kufuga ndevu nakadhalika lakini young Joc akaona kama  Justin Bieber anaweza kuweka dawa vipi yeye ashindwe?  akaweka kalikiti lake lakini yaliyo mkuta huko mitandaoni ni balaa

Yung-Joc-Hair-Insta-Photo

inaonekana mashabiki wake hasa Africa-americans wame chukizwa na hili kiasi ambacho wame tengeneza vikatuni kwa kum’beza

Yung_Joc_Hair

Yung-Joc-hair-memes-1-600x600 Yung-Joc-hair-memes-5-600x600

 

lakini joc ameoneka kuwa unbothered na hili na seems to enjoy his new hairdo . una weza kuangalia video ya anavyo jitetea kwamba kama angekuwa mweupe basi ingekua style kwa sababu ni mweusi imekua zogo

Related posts